Jinsi yakuondoa FRP Google simu ya itel 1516 Plus ni rahisi kabisa Kama una tumia tool yoyote, leo tutaenda kuona jinsi ya kuondoa FRP ya itel 1516 Plus kwa kuitumia miracle tool.
Aina ya Simu
Itel 1516 Plus
Size:1914.17MB
Faida ya kuondoa FRP
Itaondoa PIN
Itaondoa Google account
Itaondoa password
Ita reset simu
VITENDEA KAZI
Miracle tool 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳
Miracle driver 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳
Firmware file 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳