Jinsi ya kuondoa lock ya mtandao ya Smart kitochi kwa kutumia SPD Tool
Faili hili huondoa lock ya mtandao na kuwezesha Simu kutumia laini zote,
Hurekebisha simu inayoganda (hang on logo)
Huondoa password
T-SMART FP789L-T UNLOCKED FIRMWARE FIX HANG ON LOGO
VITENDEA KAZI
Boot key nibatani ya kupiga (call button)
SPD flash tool download
SPD drivers download
T-Smart FP789L Unlocked
Firmware 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳
Tags:
Kios Smart kitochi