Ondoa lock ya mtandao Halotel H1001
Kuondoa lock ya mtandao kwa Simu ya Halotel Viettel H1001 kwa kutumia SPD Upgrade Tool
Faili hili litawezesha Halotel H1001 kutumia laini za mitandao yote.
VITENDEA KAZI
PC/ Windows7/8/10
SPD tool 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳
H1001 Network Unlock file 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳