Jinsi ya kuondoa lock ya mtandao Zantel Smarta FP987L-Z kwa kutumia SPD Tool pamoja na faili ambalo ni unlocked.
Faili hurekebisha simu inayo ganda (hang on logo)
Hufungua mitandao yote, hivo simu utakuwa na uwezo wa kutumia laini zote
VITENDEA KAZI
Boot button ni call/ home or menu
SPD flashtool download
FP987L-Z Firmware 🅳🅾🆆🅽🅻🅾🅰🅳
Tags:
Kios Smart kitochi